Msaada wa ushauri unahitajika kwenye uhusiano huu

Msaada wa ushauri unahitajika kwenye uhusiano huu

Ndo iko hivyo my friend...ukimpata wakupendana naye unampenda tu, muhimu tu achunguze historia ya huyo jamaa ikoje
Tuhitimishe hivi, kwa kuwa huyo rafiki yake ameshaweka imani mbaya juu ya penzi jipya, bora alipige chini, maana anayoyafikiria yatamkuta kweli. (Maisha yananzia kwenye fikra zetu)
 
Tuhitimishi hivi, kwa kuwa huyo rafiki yake ameshaweka imani mbaya juu ya penzi jipya, bora alipige chini, maana anayoyafikiria yatamkuta kweli. (Maisha yananzia kwenye fikra zetu)
naona hilo ndo litakua poa zaidi
 
Back
Top Bottom