Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #21
nilimtag aseme neno, shoga ako afanyejeNini aseme nami niache uchokozi
Anaogopa naye atapata ajaliAnaogopa kufa sioπ
NdioAnaogopa kufa sioπ
Mwambie asiogope, kila mtu ataionja mautiπNdio
Kwahiyo aanze penzi jipya bila wasiwasiMwambie asiogope, kila mtu ataionja mautiπ
Yeah,, maisha haya saizi kilichobaki ni kupendana tuπ€Kwahiyo aanze penzi jipya bila wasiwasi
Unique Flower, mdogo wako ndo ameyasema hayaYeah,, maisha haya saizi kilichobaki ni kupendana tuπ€
Ndo iko hivyo my friend...ukimpata wakupendana naye unampenda tu, muhimu tu achunguze historia ya huyo jamaa ikojeUnique Flower, mdogo wako ndo ameyasema haya
HahaπππUkicheat unapata ajali π π
Tuhitimishe hivi, kwa kuwa huyo rafiki yake ameshaweka imani mbaya juu ya penzi jipya, bora alipige chini, maana anayoyafikiria yatamkuta kweli. (Maisha yananzia kwenye fikra zetu)Ndo iko hivyo my friend...ukimpata wakupendana naye unampenda tu, muhimu tu achunguze historia ya huyo jamaa ikoje
πππNimechkaUkicheat unapata ajali π π
naona hilo ndo litakua poa zaidiTuhitimishi hivi, kwa kuwa huyo rafiki yake ameshaweka imani mbaya juu ya penzi jipya, bora alipige chini, maana anayoyafikiria yatamkuta kweli. (Maisha yananzia kwenye fikra zetu)
π€naona hilo ndo litakua poa zaidi
Sema huenda jamaa ako na maokoto ya kutosha ndomana binti anakosa maamuziπππ€