Msaada wa ushauri wa masega

Msaada wa ushauri wa masega

Kama unaijua hotel moja ilikuwa inaitwa Ntasoma ya msomali mmoja hivi

Ni opposite na pale,

Unaingilia hii njia ya kwenda kamata kabla ujavuka Reli kuna office za tigo Kwa nyuma pale
Hiyo mitaa kuna mafundi rangi wengi naijua...sijawahi kupeleka gari yangu mitaa hiyo alafu ndiyo sifa mbaya za mafundi wezi wa gerezani wanakuwepo siku nyingine njoo mitaa ya SHULE YA SEKONDARI GEREZANI hapo ndipo kuna mafundi wazuri alafu ni wengi ni watu wazima sio wahuni..
Kuna members wengi nimewasaidia kwenda kutengeneza magari Yao hapo SEKONDARI na hakuna shida wamepata
 
Back
Top Bottom