Hiyo mitaa kuna mafundi rangi wengi naijua...sijawahi kupeleka gari yangu mitaa hiyo alafu ndiyo sifa mbaya za mafundi wezi wa gerezani wanakuwepo siku nyingine njoo mitaa ya SHULE YA SEKONDARI GEREZANI hapo ndipo kuna mafundi wazuri alafu ni wengi ni watu wazima sio wahuni..
Kuna members wengi nimewasaidia kwenda kutengeneza magari Yao hapo SEKONDARI na hakuna shida wamepata