Msaada wa ushauri wa tahasusi ya kusoma

Msaada wa ushauri wa tahasusi ya kusoma

Lakini imeangaliwa admission capacity muhimbili ni 25
Hivi walivyoandika admisiion capacity 25 wakati mwaka wa kwanza Muhimbili wanaingia MD kama 200-300 why wameandika 25 nimejiuliza hilo swali sijapata jibu
 
Nina one ya point 9 PCB nataka ni omba MD naombeni mawazo yenu wadau
Najua unapenda afya, kuna mdau amekuambia soma cyber security, dunia bado ina uhaba wa wataalamu kwenye hii sekta hutojutia. Dunia inaelekea huko!

Au unababaika na makoti meupe ambayo hata wauza bucha wanayo!

Huu ni utafiti kuhusu hiyo kozi!

Cyber security is an ever-growing industry. It is projected to grow by 11% in 2023 and by 20% in 2025. This is a fast-paced career with a median salary of $81,000.



 
Yess ajaribu St Francis, St Joseph, St John's.

Ila Bugando, KCMC, hapati, tena MUHAS asiguse kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh mkuu ina maana hata unesi hapo muhas hapati?
 
Jamani je mwenye 1.6 pale MUHAS AU UD hapati course za afya?
 
Back
Top Bottom