Msaada wa utengenezaji wa katuni

Msaada wa utengenezaji wa katuni

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Wakuu habari zenu,

Nahitaji kuwekeza nguvu zangu kwenye utengenezaji wa katuni hai mfano wa Tom and Jerry.
Elimu ya utengenezaji naweza kuipata wapi au ninaweza kuchimba mwenyewe?
Naomba msaada nione naanzia wapi nataka niifanye kwa kiwango cha standard gauge.
Msaada wenu wa mawazo.
 
Tutorial ziko kibao youtube ila kw hapa maelezo yatakua mengi na utaishia tu kwenda chaka labda kw hapa ungeuliza App ambazo zinatumiaka kutengenezea hizo catoon then kw vitendo ungezamia youtube
 
Sahihi kabisa aende youtube. Hila apps nzuri za kutengeneza cartoon sio bure
 
Sijui wewe unataka kufocus wapi, kwenye 2D au 3D. Kama ni 2D huko sina uzoefu napo, ila kama ni 3D kuna softwares nyingi ila mimi nakushauri anza na blender kwa sababu ni ya buuuure kabisa lakini inatoa matokeo yenye ubora kama vile software za kulipia. Cha kufanya idownload kisha kama kiingereza kinapanda download blender manual yake au unaweza kutumia shortcut ya tutorial za youtube au vyote kwa pamoja. Ukiielewa blender itakuwa rahisi kuzielewa softwares nyingine. kila la heri.
 
Hivi hizo katuni zinawezaje kumwingizia kipato mtu?
 
Wakuu habari zenu,

Nahitaji kuwekeza nguvu zangu kwenye utengenezaji wa katuni hai mfano wa Tom and Jerry.
Elimu ya utengenezaji naweza kuipata wapi au ninaweza kuchimba mwenyewe?
Naomba msaada nione naanzia wapi nataka niifanye kwa kiwango cha standard gauge.
Msaada wenu wa mawazo.
Mkuu, kuna 2D na 3D animations. Kwa hiyo unatakiwa ujue ungependa kuspecialize wapi. Lakini kwa kuanzia 2D ipo simple kidogo kulinganisha na 3D ingawa 3D zinakuwa njema zaidi kimuonekano.
Blender ipo vizuri zaidi na inatimiza mahitaji yako mengi na ni free pia.
 
Tupe link mkuu ili tudownload
 
Huwa najifunzia blender ipo vizuri mcheki jamaa anaitwa CGYOLLO instagram
 
Kabla hujaanza tengeneza hizo katuni zenyewe kuna mambo ambayo ukijifunza kabla, learning curve yako itakuwa nyepesi.

1. Sketiching
Jifunze kuanda michoro ya kawaida kwa mkono. (Penseli au Pen ni sawa tu) kama animation zako zinaenda kuwa na watu halisi au wasio halisi, au wanyama, nk. Anza ujizoeze kuwa visualize kwenye karatasi.

2. Concept Art
Concept Art sana sana uhusika kwenye world building. Jinsi watu wakavyokuwa wakifanana. Au nyumba, magari, mazingira kiujumla yatakavyokuwa, nk. Mfano hizo katuni za Tom and Jerry hazifanani za Ben 10 au Soul(Pixar) au Coco, nk. Kila katuni zinakuwa na muonekano wake. Ko kwenye kufanya hizo concept arts unakuwa una define muonekano wa za kwako.

3. Character Design
Character Design hii ni nyepesi. Ni ile inayokufanya uone picha useme huyu ni Tom, huyu ni Jerry, huyu ni Spiderman au huyu ni Batman. Ina maana kila character ana vitu vinavyo mtofautisha na character mwingine.

Hayo yote ni mambo unafanya kwa karatasi.

Baada ya kujizoeza kuyafanya hayo yote. Unapaswa chagua unataka ku specialize kwenye aina gani ya Animations. 2D, Stop Motion au 3D Animation.

2D, ni animations ambazo zinachorwa kwa mkono, frame by frame. Animation za kawaida huwa ni 24F/s au 30F/s hii ikimaanisha michoro 24 ndani ya sekunde moja. Sikushauri kuanza na aina hii ya Animation maana inakuoaswa uwe mtaalamu kwenye kuchora , na mwenye muda wa kutosha. Mfano wa 2D Animations ni hio hio Tom & Jerry.

Stop Motion Animation, ni Animation zinazofanya kutumia vi midoli (clay figures) Yaani una unda characters wako, scenery na kila kitu kwa mkono(kufinyanga) then unavianimate frame by frame kwa mkono uku ukipiga picha kila hatua. Sekunde moja itahitaji walau picha 30 ili animation yako iwe smooth. Sikushauri kufanya hii aina ya Animation kama ni beginner pia.

3D Animations ndo ziko za kisasa zaidi na ni rahisi kujifunza hata kama wewe sio mchoraji. Hapa inatumika software ku model kila kitu, kuanzia hao Characters, hizo Environments , na props. Pia software inatumika kuanimate kila kitu na mwisho wa siku render/export kazi yako ilokamilika.

Industry Standard softwares ni pamoja na Autodesk Maya, Autodesk Max , Maxon Cinema4D na Blender. Kwa kuanza nashauri kutumia Blender maana inakaribia kila kitu na ni ya bure. Pia ziko video kibao Youtube unazoweza tumia jifunza Basics hadi Pro stuff.

Baada ya kujizoeza software utakayochagua na kuwa vizuri kwenye kile unachofanya. Ni vizuri kuamua unaenda kuwa aina gani ya Animator(Unaweza kuwa vyote. But Animations bomba zinafanywa na Team, ambapo kila mmoja ana specificy kwenye kitu maalumu)

Kwa haraka haraka...
1. Unaweza kuwa Concept Artist - Huyu anasoma script na kuwavisualize hao character na sets zitakavyokuwa zinafanana.

2. Storyboarding Artist - Baada ya kujua kila kitu kitakavyokuwa kikifanana. Storyboard artist kazi yake ni ku visualize movie yote au film kwenye karatasi , scene by scene ili kusaidia Animators kujua flow itakavyokwenda.

3. Modelling Artist - Huyu ndie anatengeneza 3D Models za characters husika. Props na Mazingira.

4. Texturing Artist - Baada ya Models kutengenezwa, huyu Artist anahusika na kuzipa rangi/texture models husika.

5. Rigging Artist - Huyu anazipea skeleton hizo models ili ziwe rahisi ku animate.

6. Animator Mwenyewe - Huyu anachukua model ambayo iko rigged na kuanza kui ainamte, frame by frame(yaani sijui kufanya ka katuni katembee, au mdomo uongee, au macho yafumbe na kufuguka. Ni huyu).

7. Physics/Dynamics Artist- Huyu ndo analeta uhalisia kwenye hizo animations. Kama nguo kuperushwa na upepo. Kutengeneza upepo mwenyewe. Mvua. Mianga, Moto, nk.

8. VFX Artist - Huyu ni kutengeneza visual effects kama hizo nlizo taja hapo juu na zaidi. Mvua, moto, radi, miripuko, vitu kubomoka, mambo kama hayo.

Ko unachagua skill moja wapo kati ya hizo na kuiendeleza kama uko serious na kuigeuza hio kitu kuwa kazi, nk. Kama uko ambitious unaweza jifunze kuyafanya hayo yote. Inawezekana.

Goodluck
 
😳 Kumbe thread ya 2019.
Kabla hujaanza tengeneza hizo katuni zenyewe kuna mambo ambayo ukijifunza kabla, learning curve yako itakuwa nyepesi.

1. Sketiching
Jifunze kuanda michoro ya kawaida kwa mkono. (Penseli au Pen ni sawa tu) kama animation zako zinaenda kuwa na watu halisi au wasio halisi, au wanyama, nk. Anza ujizoeze kuwa visualize kwenye karatasi.

2. Concept Art
Concept Art sana sana uhusika kwenye world building. Jinsi watu wakavyokuwa wakifanana. Au nyumba, magari, mazingira kiujumla yatakavyokuwa, nk. Mfano hizo katuni za Tom and Jerry hazifanani za Ben 10 au Soul(Pixar) au Coco, nk. Kila katuni zinakuwa na muonekano wake. Ko kwenye kufanya hizo concept arts unakuwa una define muonekano wa za kwako.

3. Character Design
Character Design hii ni nyepesi. Ni ile inayokufanya uone picha useme huyu ni Tom, huyu ni Jerry, huyu ni Spiderman au huyu ni Batman. Ina maana kila character ana vitu vinavyo mtofautisha na character mwingine.

Hayo yote ni mambo unafanya kwa karatasi.

Baada ya kujizoeza kuyafanya hayo yote. Unapaswa chagua unataka ku specialize kwenye aina gani ya Animations. 2D, Stop Motion au 3D Animation.

2D, ni animations ambazo zinachorwa kwa mkono, frame by frame. Animation za kawaida huwa ni 24F/s au 30F/s hii ikimaanisha michoro 24 ndani ya sekunde moja. Sikushauri kuanza na aina hii ya Animation maana inakuoaswa uwe mtaalamu kwenye kuchora , na mwenye muda wa kutosha. Mfano wa 2D Animations ni hio hio Tom & Jerry.

Stop Motion Animation, ni Animation zinazofanya kutumia vi midoli (clay figures) Yaani una unda characters wako, scener na kila kitu kwa mkono(kufinyanga) then unavianimate frame by frame kwa mkono uku ukipiga picha kila hatua. Sekunde moja itahitaji walau picha 30 ili animation yako iwe smooth. Sikushauri kufanya hii aina ya Animation kama ni beginner pia.

3D Animations ndo ziko za kisasa zaidi na ni rahisi kujifunza hata kama wewe sio mchoraji. Hapa inatumika software ku model kila kitu, kuanzia hao Characters, hizo Environments , na props. Pia software inatumika kuanimate kila kitu na mwisho wa siku render/export kazi yako ilokamilika.

Industry Standard softwares ni pamoja na Autodesk Maya, Autodesk Max , Maxon Cinema4D na Blender. Kwa kuanza nashauri kutumia Blender maana inakaribia kila kitu na ni ya bure. Pia ziko video kibao Youtube unazoweza tumia jifunza Basics hadi Pro stuff.

Baada ya kujizoeza software utakayochagua na kuwa vizuri kwenye kile unachofanya. Ni vizuri kuamua unaenda kuwa aina gani ya Animator(Unaweza kuwa vyote. But Animations bomba zinafanywa na Team, ambapo kila mmoja ana specificy kwenye kitu maalumu)

Kwa haraka haraka...
1. Unaweza kuwa Concept Artist - Huyu anasoma script na kuwavisualize hao character na sets zitakavyokuwa zinafanana.

2. Storyboarding Artist - Baada ya kujua kila kitu kitakavyokuwa kikifanana. Storyboard artist kazi yake ni ku visualize movie yote au film kwenye karatasi , scene by scene ili kusaidia Animators kujua flow itakavyokwenda.

3. Modelling Artist - Huyu ndie anatengeneza 3D Models za characters husika. Props na Mazingira.

4. Texturing Artist - Baada ya Models kutengenezwa, huyu Artist anahusika na kuzipa rangi/texture models husika.

5. Rigging Artist - Huyu anazipea skeleton hizo models ili ziwe rahisi ku animate.

6. Animator Mwenyewe - Huyu anachukua model ambayo iko rigged na kuanza kui ainamte, frame by frame(yaani sijui kufanya ka katuni katembee, au mdomo uongee, au macho yafumbe na kufuguka. Ni huyu).

7. Physics/Dynamics Artist- Huyu ndo analeta uhalisia kwenye hizo animations. Kama nguo kuperushwa na upepo. Kutengeneza upepo mwenyewe. Mvua. Mianga, Moto, nk.

8. VFX Artist - Huyu ni kutengeneza visual effects kama hizo nlizo taja hapo juu na zaidi. Muva, moto, radi, miripuko, vitu kubomoka, mambo kama hayo.

Ko unachagua skill moja wapo kati ya hizo na kuiendeleza kams uko sefiseriousous na kuigeuza hio kitu kuwa kazi, nk. Kam uko ambitious unaweza jifunze kuyafanya hayo yote. Inawezekana.

Barikiwa sana
 
Wakuu habari zenu,

Nahitaji kuwekeza nguvu zangu kwenye utengenezaji wa katuni hai mfano wa Tom and Jerry.
Elimu ya utengenezaji naweza kuipata wapi au ninaweza kuchimba mwenyewe?
Naomba msaada nione naanzia wapi nataka niifanye kwa kiwango cha standard gauge.
Msaada wenu wa mawazo.
Ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812 ili tufanikishe kutengeneza katuni maana kukamilisha animation kuwa mmoja ni kazi sana inabidi kuwa na mwenza wa kutoa mawazo ili kazi iyende sawa ukiwa tayali nicheki
 
Back
Top Bottom