CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Apr 2, 2013 #1 Wakuu nahitaji kujua ni % ya VAT hulipwa unapoa ingiza mzigo Tanzania? Je zina varie kutokana na ain ya mzigo zu % ni moja kwa mizigo yote,
Wakuu nahitaji kujua ni % ya VAT hulipwa unapoa ingiza mzigo Tanzania? Je zina varie kutokana na ain ya mzigo zu % ni moja kwa mizigo yote,
NoTears Member Joined Apr 1, 2013 Posts 66 Reaction score 15 Apr 2, 2013 #2 VAT ni 18% kwa chochote kiingiacho, hakuna kiwango kingine zaid ya msamaha. VAT haina relief ila ina Exemtion
VAT ni 18% kwa chochote kiingiacho, hakuna kiwango kingine zaid ya msamaha. VAT haina relief ila ina Exemtion