Msaada wa % VAT inayo pigwa kwenye CIF

Msaada wa % VAT inayo pigwa kwenye CIF

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu nahitaji kujua ni % ya VAT hulipwa unapoa ingiza mzigo Tanzania? Je zina varie kutokana na ain ya mzigo zu % ni moja kwa mizigo yote,
 
VAT ni 18% kwa chochote kiingiacho, hakuna kiwango kingine zaid ya msamaha. VAT haina relief ila ina Exemtion
 
Back
Top Bottom