Msaada wa vifaranga vya Sasso au Kuroiler

mr Future

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
69
Reaction score
84
Habari za muda?

Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.

Karibuni!
 
Uz umekosa wachangiaji πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Kila jumatano wanasafirisha mikoani vifaranga f1 wa Kuroiler. Kama una nia njoo pm nikupe mawasiliano yao kampuni inaitwa AKM GLITTERS.
Mkuu napata shida kukutumia pm, wakisema siwezi kuanza mazungumzo nawe
 
Uz umekosa wachangiaji πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
... inaonesha jinsi gani kilimo hakithaminiwi. Ingekuwa kula tunda kimasihara uzi ungekuwa page ya 200 in two days.
 
Mkuu napata shida kukutumia pm, wakisema siwezi kuanza mazungumzo nawe
Sawa mkuu basi acha nimwage mchele tu, namba zao ni hizi 0783833335

Ukipata changamoto yoyote nicheki kwenye 0718151415
 
Kila jumatano wanasafirisha mikoani vifaranga f1 wa Kuroiler. Kama una nia njoo pm nikupe mawasiliano yao kampuni inaitwa AKM GLITTERS.
Hawa vifaranga wao kuku wao hawasumbui ni genuine first generation na wanakua fasta!
Wiki 6 mikuku mizitooo
 
Mkuu,

Wanakuwa na vifaranga vya Kuroiler pekee au hata Sasso wanapatikana?

Gharama zao zipoje?
Walikuwa na promo Jan Dec 1,000 kifaranga, baadaye ikawa 1,300 ukichukua chini ya 500 500+ Kwa 1,200 sijui kama bado inaendelea! Wapigie
 
Walikuwa na promo Jan Dec 1,000 kifaranga, baadaye ikawa 1,300 ukichukua chini ya 500 500+ Kwa 1,200 sijui kama bado inaendelea! Wapigie
Yes wanaendelea na wana vifaranga wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…