msaada wa vitabu.

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Mdogo wangu anaitaji kufanya mtihani wa form 6 mwaka kesho kwa HKL kama PC . Naomba mnijuze Vitabu vinavyofaa kumnunulia vinavyoendana na mtaala wa sasa kwa hayo masomo.
 
Bora nirudi jera-kimeandikwa na Hussein Machozi, Nataka kulewa-kimeandikwa na Diamond, act like a lady,think like a man-kimeandikwa na mimi, one night @ a call centre-kimeandikwa na mimi, Mwanayumba-kimeandikwa na Chege.
 
Sio kila wakati ni wa masikhara jaribu kua serious wakati mwingine
 
Mdogo wangu anaitaji kufanya mtihani wa form 6 mwaka kesho kwa HKL kama PC . Naomba mnijuze Vitabu vinavyofaa kumnunulia vinavyoendana na mtaala wa sasa kwa hayo masomo.

Waungwana bado nasubiri mwenye ufahamu anijuze.
 
Bora nirudi jera-kimeandikwa na Hussein Machozi, Nataka kulewa-kimeandikwa na Diamond, act like a lady,think like a man-kimeandikwa na mimi, one night @ a call centre-kimeandikwa na mimi, Mwanayumba-kimeandikwa na Chege.

epuka bangi
 
OK. Nitaenda ila nafikiri book shop ni wafanya Biashara wanaweza wasijue syllabus iliyopo.
 
Waalimu wooote mukuje hapa na wadau wa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…