hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Sep 17, 2019 #1 Wakuu Igweeee Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa gharama nafuu
Wakuu Igweeee Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa gharama nafuu