Msaada wa viwanda vya nguo China

Msaada wa viwanda vya nguo China

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu Igweeee
Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa gharama nafuu
 
Back
Top Bottom