NASHUKURU KWA USHAURI WAKO, HUYO FUNDI ALIKWABIA ZINASMBUA NININaikubari sana hii gari,nimeifatilia kwa kiasi furani ila nilishauliwa na mtaalam mmoja ni fundi mzuri sana wa Europian car alisema ukitaka hii gari nunua ya petrol,alidai ya diesel inasumbua sana.So fanya hivyo chukua ya petrol
Nina land Cruiser prado natumia aisee huu ni mwaka wa 20 na sijawai kubadili engine na bado ni mpya vbaya sanaGari ya mzungu ni sawa na ice cream.. Unaila fasta kabla haijayeyuka.. Kama unataka gari ya kukaa nayo miaka mitatu- mitano, inunue.. Kama unataka gari ya kuzeeka nayo, nunua Prado.
NASHUKURU KIONGOZI MANA NNAYOFIKIRIA IMETEMBEA 100000MILE KUTOKA UK
VIPI UPATIKANAJI WA SPEA , ULAJI WA MAFUTA PAMOJA NA MAFUNDINiliendesha hili gari (test drive) 2018
Kwa kweli katika SUV hii ni kiboko
Kuanzia nguvu mpaka ilivyotulia barabarani
Kama kuna undugu baina ya gari na barabara basi hawa ni ndugu kabisaaa
Break system yake ni nzuri sana hata kwenye barafu au matope ni kunusa tu, pia ukifunga madirisha husikii kelele zozote
Kwa kweli ni gari nzuri Kwa familia
Usitutishe mkuu , 'kibunda' kipo.toureg gari uwe na hela sio za kuunga unga maana service zake balaa