Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

View attachment 1592646
volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo.

1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km).

2. Upatikanaji wa vifaa vyake vya kufanyia service ( diesel filter na oil filter ) ikiwezekana na bei yake.

3. Upatikanaji wa mafundi (arusha na Dar).

4. Upatikanaji wa vipuli.

5. Je ina magonjwa ya mara kwa mara.

6. Uimara wake kwa ujumla.

Wapendwa msaada wenu kwangu ni muhimu sana ili kukamilisha jambo hili.

Nawatakia usiku mwema wapendwa
Hamna gari hapo
 
Zipo sababu ni bei rahisi kununua na kufanya replacement kwenye Toyotas. Engine ya Benz, VW au Audi unadhani itakuwa na bei sawa na Toyota? Ushajiuliza cost ya fundi ku diagnose BMW tu ama maintanance ambayo ina include replacement ya spare parts?
Napia zipo nyingi sana, obvious wateja ni wengi ukilinganisha na magari mengine ambayo yako machache. Nina IST nimenunua mwaka 2017 haijawahi Sumburgh zaidi ya kubadilisha break.
 
Back
Top Bottom