Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

gari za ulaya ni nzuri watu wanasema ndo mana kwa sasa nataka nitoke japan niende ulaya japo watu wananitisha na hii kitu vw

Mimi bana nikishaipenda gari hua sihangaiki kuuliza kama ina matatizo au laa, mi naivuta tu mengine tutajua mbele kwa mbele. Hakuna kitu kinanipa satisfaction kama kuendesha ndinga nayoipenda. Na hii toureg nimeshaiweka kwenye target zangu ndio my next project. Uzuri mimi sikai na gari zaidi ya miaka mi3-4 na bahati nzuri hakuna gari imewahi kunifia.
 
Tofauti ni uwezo wa pistoni kuzungusha radiator ili filter zinaponyonya mafuta condenser zisiharibike.

Za petrol mara nyingi hazina shida, ila za dizeli zinarengeneza uji fulani kama kamasi za kijani zile ambapo pistoni inapopokea moto kutoka kwenye rack hand basi injini hukosa nguvu na kupasuka "puuuu".

Kama hunywi bia itakuua kwa presha. Ukiwa na gari ya dizeli uwe na kijiwe cha kula ngano kupotezea mawazo
Naomba namba ya pusha wa huu msokoto uliopuliza kabla ya ku comment
 
Inategemea na aina ya gari ya diesel. Mfano kama Toyota LC , Hilux D4D ama Akina Nissan patrol na gari jamii ya hizo ukipata diesel unadunda nayo vibaya sana
Practically Toyota make cars that last for decades. Hadi uiue Toyota maana umeamua kuikaanga engine kwa kuinyima oil makusudi. Kuna watu wanajazia oil tu hawamwagi na gari still znadunda freshi tu. Jaribu hilo kwa BMW tu ulete mrejesho.
 
Hakuna biashara nzuri ya spare kama used engine na gearbox za Toyota. Kama zingekuwa ngumu hivyo ilala yale maduka yangekufa.
 
Zipo sababu ni bei rahisi kununua na kufanya replacement kwenye Toyotas. Engine ya Benz, VW au Audi unadhani itakuwa na bei sawa na Toyota? Ushajiuliza cost ya fundi ku diagnose BMW tu ama maintanance ambayo ina include replacement ya spare parts?
 
Mbona unajichanganya sasa? Nimekwambia hizo mnazosema zimeundwa haziharibiki zinakufa engine na gearbox kila siku ndio maana maduka yamejaa na yanaingiza millions ilala .
Zingekuwa haziharibiki yale maduka ilala yasingekuwa mengi,utamuuzia nani na gari hazifi?
Kinachowafanya mbaki na Toyota ni substandard parts zilizojaa kariakoo wala sio kwamba huwa haziharibiki. Nina moja ya Toyota inayosemekana ngumu na nisbabadili vitu kibao kuanzia alternator, radiator,brake booster mpaka AC compressor huko kwenye miguu ndio usiseme
 
Upo sahihi mkuu. Kikubwa watu wanachopendea toyota ni kwamba spea za kichina na used zimejaa kila kona na bei ni rahisi. Kwahiyo hata kama gari inaharibika kila siku lakini kila siku itakua barabarani maana spea zipo. Ndio maana ukienda gereji zote gari za toyota ndio zimejaa. Wengi wasichojua ni kua zile garama za ku replace parts mara kwa mara zinaweza kuwa kubwa kuliko mtu mwenye gari ya ujerumani ambae japo spea ni ghali, lakini akifunga inadumu miaka bila kubadilisha.
 
Mbona unajichanganya sasa? Nimekwambia hizo mnazosema zimeundwa haziharibiki zinakufa engine na gearbox kila siku ndio maana maduka yamejaa na yanaingiza millions ilala .
Zingekuwa haziharibiki yale maduka ilala yasingekuwa mengi,utamuuzia nani na gari hazifi?
Kinachowafanya mbaki na Toyota ni substandard parts zilizojaa kariakoo wala sio kwamba huwa haziharibiki. Nina moja ya Toyota inayosemekana ngumu na nisbabadili vitu kibao kuanzia alternator, radiator,brake booster mpaka AC compressor huko kwenye miguu ndio usiseme
Hamna gari ambayo haiaribiki mkuu...ila maintainance cost ipo chini! Sababu gari ziko nyingi pia zinatoa room kwa wawekezaji kuzichagua Spare parts Toyota.
 
Mimi ongeeni yote sijui spea sijui nini lakini ndinga yangu ya Kwanza Volkswagen Polo GTI hata kama spea itauzwa 1M nitawek kibubu na si lazima niendeshe gari kila siku ila mwisho wa siku niwe na usafiri wa maana.
 
Gari naielewa tena hizi za diesel ex UK lakini huu uzi unakatisha tamaa.
Mkuu Kilahunja vp, unefanikiwa kununua? Mrejesho ukoje. Nitashukuru kabla ya kujitoa mhanga
 
Nina rafiki zangu wawili wanazo hizi. Zote ni 3.0TDi zimetoka UK. Moja DDV ingine DFP mpaka hivi ninavyoongea zinatembea. Wanachobadili sana ni bushes,tie rod ends,rack ends,links kwasababu ya barabara zetu ila upande wa engine na gearbox hamna tatizo wamewahi kupata. Sasa jiulize DDV ni ya lini halafu angalia comment za watu ambao VW wanaziona tu zikipita barabarani.
 
Back
Top Bottom