Msaada wa vyuo kwa waliomaliza form4

Msaada wa vyuo kwa waliomaliza form4

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Jmn eti chance za vyuo zinatoka lini hasa kwa hz INSITUTE za Serikali e.g:KILIMO, MIFUGO & UVUVI
 
Zulia achana na chuo mdogo sana na mapema sana kuongelea chuo
neenda ukaritisiti kama pass mark aujapata za kutosha kuna raha yake ukimaliza form six ukaongelea chuo na hata shule yake aitakuwa ngumu sana kama umepita asix ushauri tu
much luv n all the best
 
Dogo kama umefaulu sayans omba chuo cha maji,zaman walikiita rwegalulila.
 
Wasikukatishe tamaa komaa na website zao watatangaza, tena ukiingia vyuoni na equivalent qufns ni rahisi sana, kama vipi unapenda upolisi zimeshatoka ila lazima ujaze form ambayo itasainiwa na mkuu wako wa shule uliosoma, ni utaratibu mpya.
 
Dogo hebu achana na vyuo hebu reseat kwanza pepa upige 5&6, bkoz "always shortcut is a longcut"! Take care dogo.
 
Wasikukatishe tamaa komaa na website zao watatangaza, tena ukiingia vyuoni na equivalent qufns ni rahisi sana, kama vipi unapenda upolisi zimeshatoka ila lazima ujaze form ambayo itasainiwa na mkuu wako wa shule uliosoma, ni utaratibu mpya.

thanks braza
 
Zuia!, nafikiri ni vizuri kama ukafuatilia vyuo unavyovijua kwa ama kuwapigia simu au kuangalia web site zao ili kupata ufahamu zaidi. Usisubiri matangazo kwenye vyombo vya habari
 
Mwenye mawasiliano na chuo cha mifugo na kilimo UKIRIGURU naomba anisaidie contact zao
 
kama alifanya vizur kwny masomo ya sayans vyuo vya afya wameshatangaza.
 
Nilifanya vizuri
but
nina Interest na Mifugo au Kilimo
 
Inategemea unataka kusoma nini kijana, vyuo vipo vingi, kuna chuo cha nyuki tabora pia..unaweza kuangalia huko....
 
Vyuo vya uvuvi kuna mbegani-bagamoyo na nyegezi-mwanza. Kama upo dar nenda wizara ya mifugo na uvuvi hapo hapo utapata taarifa za vyuo vya mifugo. ukitoka ingia wizara ya kilimo zipo karibu tu. kama upo mkoani sema
 
Niko mwanza
hivi wizara ya kilimo na mifugo chance wameshatoa.?
 
Thanks
but
Nimeangalia hiyo web lkn sion hata contact zao
 
mifugo. www.mifugo.go.tz nimeangalia hawajatoa tangazo lolote. Upo mwanza nenda nyegezi chuo cha uvuvi kaulize. Utapata taarifa na contacts. Ila kwa kawaida huwa wanatangaza kwenye magazeti, website yao na kwenye mbao za matangazo ofisini kwao. Vyuo vya uvuvi huwa wanaanza mwezi wa 8-9 kusoma. Nafikiri watakuwa hawajatangaza. Nipe email yako nikupe mtu wa kuwasiliana naye
 
Haya ingia hapa contact us then angalia contact za idara ya research and Training,hao ndiyo watakupa jibu la kueleweka!!
 
mifugo. www.mifugo.go.tz nimeangalia hawajatoa tangazo lolote. Upo mwanza nenda nyegezi chuo cha uvuvi kaulize. Utapata taarifa na contacts. Ila kwa kawaida huwa wanatangaza kwenye magazeti, website yao na kwenye mbao za matangazo ofisini kwao. Vyuo vya uvuvi huwa wanaanza mwezi wa 8-9 kusoma. Nafikiri watakuwa hawajatangaza. Nipe email yako nikupe mtu wa kuwasiliana naye

email adress
fredysayayi@gmail.com
 
Back
Top Bottom