Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Jmn eti chance za vyuo zinatoka lini hasa kwa hz INSITUTE za Serikali e.g:KILIMO, MIFUGO & UVUVI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasikukatishe tamaa komaa na website zao watatangaza, tena ukiingia vyuoni na equivalent qufns ni rahisi sana, kama vipi unapenda upolisi zimeshatoka ila lazima ujaze form ambayo itasainiwa na mkuu wako wa shule uliosoma, ni utaratibu mpya.
Haya ingia hapa contact us then angalia contact za idara ya research and Training,hao ndiyo watakupa jibu la kueleweka!!
mifugo. www.mifugo.go.tz nimeangalia hawajatoa tangazo lolote. Upo mwanza nenda nyegezi chuo cha uvuvi kaulize. Utapata taarifa na contacts. Ila kwa kawaida huwa wanatangaza kwenye magazeti, website yao na kwenye mbao za matangazo ofisini kwao. Vyuo vya uvuvi huwa wanaanza mwezi wa 8-9 kusoma. Nafikiri watakuwa hawajatangaza. Nipe email yako nikupe mtu wa kuwasiliana naye