Msaada wa wazo hili

Msaada wa wazo hili

bravegirl

Member
Joined
May 28, 2017
Posts
29
Reaction score
21
Habari wapendwa naomba kujuzwa nina kaeneo kadogo Singida kadogo tu robo heka nahitaj kukapanda miti ya mbao kea sababu sijengi hvi karibuni naomba msaada ni miti gan inastawi vizur hapo Singida mjini na kwa muda mfup asanteni
 
Kilimo Cha miti ya mbao ni uwekezaji wa muda mrefu kwahiyo hakikisha kuwa unafanya kwaajili Yako na warithi wako. Muda mfupi Kwa mti wa mbao ni miaka 15+ chini ya hapo lbda uitumie Kama Mirunda.

Kwenye kilimo ukubwa au udogo wa eneo haukufanyi upunguze majukumu, utafanya sawa na mwenye heka 5+. Yaani utalazimika kupalia, kuweka firebreak Kila mwaka, ulinzi dhidi ya mifugo na wezi n.k hivyo ongeza eneo au utafute mtu wa kusimamia kwaniaba Yako. Kuhusu aina ya miti watakujakuongeza ingawa gamsi inafaa inachukua muda mrefu, Kuna mipaina, n.k
 
Robo acre upande miti ya mbao? Noo, sio feasible wala realistic. Kwa Singida, panda mikorosho tu uwe unakula korosho basi(sio kuuza korosho).
 
Back
Top Bottom