Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Gere unanionea mie nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambu kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia.
Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii alieimba anitajie jina. Natanguliza shukrani.
Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii alieimba anitajie jina. Natanguliza shukrani.