T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 586 Feb 11, 2014 #1 Wadau kwa anayejua aina ya maharage ambayo huzaa kwa wingi na yenye bei nzuri sokoni ukivuna anijulishe niweze panda mbegu hiyo mwezi huu mwishoni.
Wadau kwa anayejua aina ya maharage ambayo huzaa kwa wingi na yenye bei nzuri sokoni ukivuna anijulishe niweze panda mbegu hiyo mwezi huu mwishoni.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Feb 12, 2014 #2 Mie sio mataalam ila nasikia soya aina ya kiblanketi yana bei kubwa.