Msaada wa zao la maharage

Msaada wa zao la maharage

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Wadau kwa anayejua aina ya maharage ambayo huzaa kwa wingi na yenye bei nzuri sokoni ukivuna anijulishe niweze panda mbegu hiyo mwezi huu mwishoni.
 
Mie sio mataalam ila nasikia soya aina ya kiblanketi yana bei kubwa.
 
Back
Top Bottom