Msaada wachumi, how banks create money?

Msaada wachumi, how banks create money?

Dash mkuu umemaliza kila kitu aisee kweli JF ni chimbo la magreat thinker

Ahsante sana mtaalamu nimeshaielewa vizuri hii Concept....Ubarikiwe mkuu🙏🙏🙏hopefully wengine watapata elimu hii pia
Shukrani sana mkuu. Nashukuru umeelewa.
 
Kupitia Mikopo, Unapokopa banking system inakupa hela hewa(miamala mingi ni electronically) ambapo wewe unapoenda kutumia wanazirudisha tena huko huko kwao. Kwahiyo benki wanabaki na pesa zao hewa ambazo umekopa na kurudishwa na third party uliye transact naye, wewe unapolipa deni plus riba una increment zile pesa hewa and the circle goes on exponentially.
 
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa

Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi banks wanatumia kucreate money

Hii Concept imeniwia vigumu sana kuielewa kwani ina kamkanganyiko fulani. Ninaomba kwa anayeielewa vizuri hii Concept atueleweshe nina imani sio mimi tu pia itawasaidia wengine ambao hawakuwa wanaielewa.

Karibuni sana.
Source of finance
*Umenikumbusha darasani aiseee
Ngoja nitumie narudi hapaa..
 
Back
Top Bottom