Msaada Wachumi: Kuporomoka kwa Shilingi

Msaada Wachumi: Kuporomoka kwa Shilingi

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.

Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu nilivyonunua sahani ya wali ilikuwa inauzwa kwacha 20000 yani ilikuwa around 3000-5000 ya bongo.

Ila kwa sasa NASIKIA pesa ya Zambia ina thamani kuliko yetu.

Je wao Zambia wamefanyaje, na sisi hatuwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu?

Wachumi nisaidieni.
 
Zambia walichofanya ni ku-rebase thamani ya kwacha au kupandisha kama ulivyosema. Wakati wanafanya mabadiliko hayo thamani ya dollar 1 ilikuwa kama kwacha 5000. Walihamua kutoa mfumo mpya wa kwacha ambao dollar 1 ilikuwa na thamani ya kwacha 5.

Katika kipindi cha mabadiliko, nchi ilikuwa inatumia mifumo miwili ya pesa: Kwacha ya zamani na kwacha mpya. Hivyo kwa mfano kama mshahara wako ulikuwa ni kwacha milioni 6, katika mfumo mpya ulikuwa ni elfu 6.

Wakati mfumo mpya ukiendelea benki zilikuwa zinaondoa noti na sarafu za mfumo wa zamani kwenye mfunguko wa fedha. Hivyo baada ya muda uliopangwa, fedha za zamani zitaondoka kwenye mzunguko.

Zambia walichofanya ni kuleta mfumo mwingine wa pesa. Na zoezi hili linatumika mara chache dunia. Nchi ambazo zipo kwenye mfumo wa bei zinaweza kutumia zoezi hili pale mfumuko unapotulia. Hakuna sababu ya watu kutumia noti au sarafu za mamilioni wakati mamilioni yenyewe hayana thamani.

Zimbabwe ikipata nafasi ya kutulia kiuchumi, inaweza kutumia zoezi hili.
 
Ambacho haujamalizia kusema ni kwamba, Pesa ni kitu ambacho hakina thamani kuliko vingine vyote.
 
Kiongozi nashukuru sana kwa kunielimisha hope wapo waliofaidika na mchango wako pia. Sasa ni kwa nn Tanzania isifanye hivyo au wachumi wanaona hakuna haja?

Zipi faida na hasara za kufanya walivyofanya Zambia?
 
Naomba nichangie kidogo bila kuhusisha "kisa mkasa cha Zambia". Thamani ya pesa huimalika kwa kiwango kizuri kama nchi inauza zaidi nje ya nchi kuliko inavyoagiza nje. Hii husababisha pesa ya ndani kutafutwa zaidi kuliko pesa za kigeni. Kwa maana hiyo pesa yetu itaimalika kwa kiwango kizuri ikiwa tutaacha kuamini ktk bidhaa za nje na kujielekeza kuboorosha bidhaa na huduma zetu. Kuna baadhi ya nchi ambazo huamua thamani Ya pesa zake kwa njia ya sera, mfano Tanzania inaweza sema US$ 1 ni Sawa na tsh 1000. Mfumo huu hutumiwa na nchi mbalimbali Mexico ikiwa ni mojawapo.
 
That's your opinion. To me money is the prerequisite for development and is one of the best inventions human being has ever made.
 
Kiongozi nashukuru sana kwa kunielimisha hope wapo waliofaidika na mchango wako pia. Sasa ni kwa nn Tanzania isifanye hivyo au wachumi wanaona hakuna haja?

Zipi faida na hasara za kufanya walivyofanya Zambia?

Kinadharia kama vitu vyote vinabaki sawa (remain constant) na nchi haifanyi biashara yoyote na nchi nyingine hakuna hasara au faida kubwa kwa sababu bei ya vitu, mishahara, akiba za watu zitapungua kutokana na thamani mpya. Kwa mfano kama ulikuwa na akiba ya milioni 4, basi akiba itakuwa elfu 4.

Kikazi hakuna nchi isiofanya biashara na nchi zingine. Thamani ya pesa ikiwa ndogo, bidhaa za nchi husika zinavutia wanunuzi katika soko la kimataifa (Export) Na bidhaa za kuagiza zinakuwa na thamani kubwa. Thamani a pesa ikiwa kubwa, bidhaa za nchi katika soko la kimataifa zinakuwa kubwa na vitu ya kuagiza vinakuwa cheap.

Mfano mdogo ni safari yako ya Zambia. Kama ongezeko la thamani litafanya bei ya kwenda kujidai Zambia kuongezeka, watanzania watapunguza safari za kwenda Zambia. Na hii itapunguza mzunguko wa pesa unaotokana na safari za watanzania. Na waZambia wanaokuja Tanzania kutumia, kwa pesa kidogo watapata vitu vingi na hivyo kuongeza mzunguko wa pesa Tanzania.

Zipo faida na hasara.Wenye utaalamu wa mambo ya pesa wanaweza kuongezea. Kwa Tanzania cha muhimu ni kuwa na uthabiti katika thamani ya pesa. Kama thamani ya pesa ya Tanzania itabaki kama ilivyo na ubora wa maisha kupanda, hakuna sababu ya kufanya zoezi la kiufundi kuimarisha pesa.
 
Naomba nichangie kidogo bila kuhusisha "kisa mkasa cha Zambia". Thamani ya pesa huimalika kwa kiwango kizuri kama nchi inauza zaidi nje ya nchi kuliko inavyoagiza nje. Hii husababisha pesa ya ndani kutafutwa zaidi kuliko pesa za kigeni. Kwa maana hiyo pesa yetu itaimalika kwa kiwango kizuri ikiwa tutaacha kuamini ktk bidhaa za nje na kujielekeza kuboorosha bidhaa na huduma zetu. Kuna baadhi ya nchi ambazo huamua thamani Ya pesa zake kwa njia ya sera, mfano Tanzania inaweza sema US$ 1 ni Sawa na tsh 1000. Mfumo huu hutumiwa na nchi mbalimbali Mexico ikiwa ni mojawapo.

Yes the export will improve the value of your currency. However, as your currency continues to improve, the price of your goods will become expensive and uncompetitive. Your customers will go somewhere else to cut their costs. What will you do? Devalue the currency?
 
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.
 
Je unadhani ni muda muafaka sasa serikali ikaingilia suala hili ili kuweka mizania sawa?
 
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.

What can be done for the case of Tanzania? Which is the best practice in this issue?
 
Yes the export will improve the value of your currency. However, as your currency continues to improve, the price of your goods will become expensive and uncompetitive. Your customers will go somewhere else to cut their costs. What will you do? Devalue the currency?
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.
 
What can be done for the case of Tanzania? Which is the best practice in this issue?
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.
 
Naungana na wewe kaka kwa 100% nadhani njia bora ni kuongeza uzalishaji wenye ubora ndani ya nchi huku pia tukiacha kuingiza vitu ambavyo tunaweza kuvizalisha sisi wenyewe itasaidia zaidi,hii itaongeza huitaji wa fedha yetu,hatua nyingine zitafuata
 
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.

What China does is the currency manipulation. It deliberately devalues it currency to stay competitive. So having a weaker currency isn't bad if the process doesn't make unwanted noises in the economy.
 
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.

How do you do that when you don't invest in education system that produces decent graduates?
 
Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.

Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu nilivyonunua sahani ya wali ilikuwa inauzwa kwacha 20000 yani ilikuwa around 3000-5000 ya bongo.

Ila kwa sasa NASIKIA pesa ya Zambia ina thamani kuliko yetu.

Je wao Zambia wamefanyaje, na sisi hatuwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu?

Wachumi nisaidieni.
Kwa maisha haya ya Bongo ya kutoa kopi noti na na au kutengeneza acount za kijinga na kisha kuchota pesa na kugawana, hio shilingi haiwezi kuimarika hata tusubiri miak 300. Money Loundering hapa Kwetu ni kubwa mno. Control ya pesa haipo na kila mtu anaamua jinsi aonavyo kuhusu shilingi na hivyo kishiusha thamani.

Mfano mimi nilienda SA na vidola, nilipotaka kubadili mnipewe Rand, Nikaulizwa umepata wapi Dola, Nikasema nimepewa na kampuni, nikaambiwa lete barua ya kampuni, nikaonyesha na passport nikiwa nayo. Nikaambiwa hakuna kitu kama hicho.

but hapa kwetu watu wanakuwa na hela tu hujui hata kapataje, wapi na njia gani??? huu ni ujinga.
 
Zambia walichofanya ni ku-rebase thamani ya kwacha au kupandisha kama ulivyosema. Wakati wanafanya mabadiliko hayo thamani ya dollar 1 ilikuwa kama kwacha 5000. Walihamua kutoa mfumo mpya wa kwacha ambao dollar 1 ilikuwa na thamani ya kwacha 5.

Katika kipindi cha mabadiliko, nchi ilikuwa inatumia mifumo miwili ya pesa: Kwacha ya zamani na kwacha mpya. Hivyo kwa mfano kama mshahara wako ulikuwa ni kwacha milioni 6, katika mfumo mpya ulikuwa ni elfu 6.

Wakati mfumo mpya ukiendelea benki zilikuwa zinaondoa noti na sarafu za mfumo wa zamani kwenye mfunguko wa fedha. Hivyo baada ya muda uliopangwa, fedha za zamani zitaondoka kwenye mzunguko.

Zambia walichofanya ni kuleta mfumo mwingine wa pesa. Na zoezi hili linatumika mara chache dunia. Nchi ambazo zipo kwenye mfumo wa bei zinaweza kutumia zoezi hili pale mfumuko unapotulia. Hakuna sababu ya watu kutumia noti au sarafu za mamilioni wakati mamilioni yenyewe hayana thamani.

Zimbabwe ikipata nafasi ya kutulia kiuchumi, inaweza kutumia zoezi hili.

Zimbabwe sasa wanatumia us dollar na kuipata ni kazi kweli kweli. Wameona hakuna sababu ya kuchapisha makaratasi ambayo hayana thamani kwa hiyo watu wanafanya kazi kweli kweli na wanaumia lkn uzalishaji umeongezeka. Sisi
 
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.

Ni kweli rushwa husabanisha kuwa fedha nyingi kwenye mzunguko ambazo haziwakilishwi na bidhaa au huduma yoyote.
 
What China does is the currency manipulation. It deliberately devalues it currency to stay competitive. So having a weaker currency isn't bad if the process doesn't make unwanted noises in the economy.
Mimi si mtaalamu wa lugha ya kiingereza japo niliwahi kudokezwa mtu akitumia neno "IF" ina maana kile anachokijengea hoja ni kitu au dhana ya kufikirika zaidi.
 
Back
Top Bottom