Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.
Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu nilivyonunua sahani ya wali ilikuwa inauzwa kwacha 20000 yani ilikuwa around 3000-5000 ya bongo.
Ila kwa sasa NASIKIA pesa ya Zambia ina thamani kuliko yetu.
Je wao Zambia wamefanyaje, na sisi hatuwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu?
Wachumi nisaidieni.