Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.
Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu nilivyonunua sahani ya wali ilikuwa inauzwa kwacha 20000 yani ilikuwa around 3000-5000 ya bongo.
Ila kwa sasa NASIKIA pesa ya Zambia ina thamani kuliko yetu.
Je wao Zambia wamefanyaje, na sisi hatuwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu?
Wachumi nisaidieni.
Zambia walichofanya ni ku-rebase thamani ya kwacha au kupandisha kama ulivyosema. Wakati wanafanya mabadiliko hayo thamani ya dollar 1 ilikuwa kama kwacha 5000. Walihamua kutoa mfumo mpya wa kwacha ambao dollar 1 ilikuwa na thamani ya kwacha 5.
Katika kipindi cha mabadiliko, nchi ilikuwa inatumia mifumo miwili ya pesa: Kwacha ya zamani na kwacha mpya. Hivyo kwa mfano kama mshahara wako ulikuwa ni kwacha milioni 6, katika mfumo mpya ulikuwa ni elfu 6.
Wakati mfumo mpya ukiendelea benki zilikuwa zinaondoa noti na sarafu za mfumo wa zamani kwenye mfunguko wa fedha. Hivyo baada ya muda uliopangwa, fedha za zamani zitaondoka kwenye mzunguko.
Zambia walichofanya ni kuleta mfumo mwingine wa pesa. Na zoezi hili linatumika mara chache dunia. Nchi ambazo zipo kwenye mfumo wa bei zinaweza kutumia zoezi hili pale mfumuko unapotulia. Hakuna sababu ya watu kutumia noti au sarafu za mamilioni wakati mamilioni yenyewe hayana thamani.
Zimbabwe ikipata nafasi ya kutulia kiuchumi, inaweza kutumia zoezi hili.

Ambacho haujamalizia kusema ni kwamba, Pesa ni kitu ambacho hakina thamani kuliko vingine vyote.
Kiongozi nashukuru sana kwa kunielimisha hope wapo waliofaidika na mchango wako pia. Sasa ni kwa nn Tanzania isifanye hivyo au wachumi wanaona hakuna haja?
Zipi faida na hasara za kufanya walivyofanya Zambia?
Naomba nichangie kidogo bila kuhusisha "kisa mkasa cha Zambia". Thamani ya pesa huimalika kwa kiwango kizuri kama nchi inauza zaidi nje ya nchi kuliko inavyoagiza nje. Hii husababisha pesa ya ndani kutafutwa zaidi kuliko pesa za kigeni. Kwa maana hiyo pesa yetu itaimalika kwa kiwango kizuri ikiwa tutaacha kuamini ktk bidhaa za nje na kujielekeza kuboorosha bidhaa na huduma zetu. Kuna baadhi ya nchi ambazo huamua thamani Ya pesa zake kwa njia ya sera, mfano Tanzania inaweza sema US$ 1 ni Sawa na tsh 1000. Mfumo huu hutumiwa na nchi mbalimbali Mexico ikiwa ni mojawapo.
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.Yes the export will improve the value of your currency. However, as your currency continues to improve, the price of your goods will become expensive and uncompetitive. Your customers will go somewhere else to cut their costs. What will you do? Devalue the currency?

Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.

Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.What can be done for the case of Tanzania? Which is the best practice in this issue?
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.
Nchi inaweza kuongeza uuzaji wa bidhaa na huduma nje na bado thamani yao ya fedha isipande kwa uwiano wa kuongezeka kwa uuzaji nje. Baadhi ya nchi huamua thamani yao ya fedha kwa kutumia sera ambazo huona ni muafaka kwao. Mfano mzuri wa nchi hizi ni Japan na China. Kwa maana hiyo suala hili la thamani ya pesa lina mambo mengi ndani yake.
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.
Kwa maisha haya ya Bongo ya kutoa kopi noti na na au kutengeneza acount za kijinga na kisha kuchota pesa na kugawana, hio shilingi haiwezi kuimarika hata tusubiri miak 300. Money Loundering hapa Kwetu ni kubwa mno. Control ya pesa haipo na kila mtu anaamua jinsi aonavyo kuhusu shilingi na hivyo kishiusha thamani.Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.
Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu nilivyonunua sahani ya wali ilikuwa inauzwa kwacha 20000 yani ilikuwa around 3000-5000 ya bongo.
Ila kwa sasa NASIKIA pesa ya Zambia ina thamani kuliko yetu.
Je wao Zambia wamefanyaje, na sisi hatuwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu?
Wachumi nisaidieni.
Zambia walichofanya ni ku-rebase thamani ya kwacha au kupandisha kama ulivyosema. Wakati wanafanya mabadiliko hayo thamani ya dollar 1 ilikuwa kama kwacha 5000. Walihamua kutoa mfumo mpya wa kwacha ambao dollar 1 ilikuwa na thamani ya kwacha 5.
Katika kipindi cha mabadiliko, nchi ilikuwa inatumia mifumo miwili ya pesa: Kwacha ya zamani na kwacha mpya. Hivyo kwa mfano kama mshahara wako ulikuwa ni kwacha milioni 6, katika mfumo mpya ulikuwa ni elfu 6.
Wakati mfumo mpya ukiendelea benki zilikuwa zinaondoa noti na sarafu za mfumo wa zamani kwenye mfunguko wa fedha. Hivyo baada ya muda uliopangwa, fedha za zamani zitaondoka kwenye mzunguko.
Zambia walichofanya ni kuleta mfumo mwingine wa pesa. Na zoezi hili linatumika mara chache dunia. Nchi ambazo zipo kwenye mfumo wa bei zinaweza kutumia zoezi hili pale mfumuko unapotulia. Hakuna sababu ya watu kutumia noti au sarafu za mamilioni wakati mamilioni yenyewe hayana thamani.
Zimbabwe ikipata nafasi ya kutulia kiuchumi, inaweza kutumia zoezi hili.
Hapa kwetu Tanzania kikubwa tunachotakiwa kufanya ni kuongeza uzalishaji unaoenda sambamba na uongezaji thamani, mfano badala ya kuuza korosho ghafi tunatakiwa tuibangue wenyewe, badala ya kuuza pamba au ngozi tunatakiwa tuuze bidhaa zake. Kuyumba kwa thamani ya pesa kwa kiasi fulani huchangiwa na rushwa na ufisadi uliokithiri, suala hili husababisha mfumuko wa bei ambao nao husababisha riba kwenye taasisi za fedha kupanda na mwisho ni kuporomoka kwa thamani ya fedha. Twaweza kuongeza uzalishaji Lakini pasipo kupiga vita rushwa na ufanisi uimara wa thamani ya pesa utabaki kuyumba.
Mimi si mtaalamu wa lugha ya kiingereza japo niliwahi kudokezwa mtu akitumia neno "IF" ina maana kile anachokijengea hoja ni kitu au dhana ya kufikirika zaidi.What China does is the currency manipulation. It deliberately devalues it currency to stay competitive. So having a weaker currency isn't bad if the process doesn't make unwanted noises in the economy.