Msaada Wachumi: Kuporomoka kwa Shilingi

How do you do that when you don't invest in education system that produces decent graduates?
Suala la kuwa na wasomi wenye maadili si suala la mfumo wa elimu pekee. Kuna mwanafalsafa aliwahi kusema "jamii yoyote hupata viongozi inaowasitahili". Suala la kuiangalia jamii ni la msingi sana, jamii ya hovyo hupata viongozi wa hovyo iwe wa kimila, kisiasa, kijamii, kiimani n.k. Kwa hali hiyo hata wasomi utakaopata watakuwa ni wa hovyo. Mfano mzuri ni hapa TZ, tunao wasomi Waliosoma chuo kikuu cha Havard, moja ya vyuo bora zaidi duniani Lakini cha kusikitisha ndio hao hao wanaoongoza kwa rushwa na ufisadi.
 

You didn't understand my point. Did you? You have argued that the country needs to export quality products. I agree with you on that premise. However, in order to do that, the country is required to have experts who can turn raw materials into commodities that people, outside Tanzania, are willing to buy.

Do you think Tanzania has required experts who can make the differences? Or do you just argue for the sake of doing so?
 
Labda kiingereza sikijui vizuri, uliposema "decent graduates" nilielewa wasomi wenye maadili, wasio na tamaa wala mawaa, waungwana na wazalendo. Kuhusu Tanzania kuwa na wataalamu wenye ujuzi wa kusaidia jamii kuongeza tija na ufanisi ktk uzalishaji wa bidhaa na huduma nadhani hilo liko wazi. Kwa mtu mweledi na mwenye kusoma machapisho mbalimbali asingeuliza swali hili. Sisemo hivyo kwa ubaya bali ni jambo lililo wazi mno, ni Sawa na mtu aulize, "Hivi binadamu aweza kutembea bila ya kichwa?"
 
Ila ufisadi pia umezidi katika Miradi ya kimataifa
 

When I say decent graduates I mean people with decent skills. To be honest, Tanzanian system of education hasn't produced graduates that can compete in the global market. So when you say the country needs to increase the export of processed goods, the question is who is going to do that? Remember that you sell when people are willing to pay for your services and products.

Back to our original discussion, the currency of the nation reflects the way the country is run. For example, countries that depend on foreign aid for their survival have weaker currencies. The question is if required, can Tanzania reduces the size of foreign aid it receives in order to improve its currency?
 
Tatizo la msingi sio wasomi kutokuwa na ujuzi na weledi, tatizo kubwa linalotusumbua, mosi ni wasomi wenyewe na jamii kuamini hawawezi, pili ni uvivu. Mfano mzuri ni Rwanda, Rais Paul Kagame alikuja kachukua wasomi Wa Tanzania ili kuijenga Rwanda na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa. Ripoti ya shirika la kazi dunia (2013) ILO ilisema uwiano wa kazi kwa Mkenya na Mtz ni 1:5, kwa wazimbabwe ni 1:7,kwa watu wa EU ni 1:12. Hii tafsiri yake Mkenya 1 aweza fanya kazi ya watu 5 WATZ. Kuhusu misaada tatizo ni letu, kama rushwa na ufisadi tungevitokomeza ukusanyaji wa kodi ungepanda na misaada tusingeihitaji.
 

Our argument is about using export of processed or semi-processed products as a way to strengthen Tanzanian Shilling. I partially agree with you. But the question is how Tanzania could achieve that when the pool of skilled labour isn't that deep?

It's true that there a number of educated Tanzanians who work inside and outside the country. However, the number is so small and can't make any significant contribution without massive investment in education. Remember, if you want to develop an economy that is based on export of processed goods, you have to establish manufacturing centers. More importantly you have to possess a good pool of skilled individuals so you can build your production and supply chain systems around them.

Now with regard to those educated Tanzanians who went to Rwanda, they are doing exactly the same thing they were doing in Tanzania, albeit with more money. If you read the stats, the characteristics of the economy of Rwanda is almost the same as it was before 1994. I am not saying Kagame hasn't done anything there. He has done. He has brought efficiency to the way the country is run. He's reduced corruption. He has improved education. But one thing for sure is he hasn't transformed the characteristics of the economy. 90% of the population of Rwanda engage in agriculture, chiefly subsistence one.

Now with respect to foreign aid, the country has been receiving aid for the past 50 years. It as become part of Tanzanian tradition so to speak. You need a bold group of leader to address the issue. Otherwise the noises of foreign aid in the economy will continue to persist for the next 50 years.
 
Ni jambo la fedheha kwa nchi yetu ya tanzania kuona hela yetu japo wengine huiita ya "madafu" kuiona ikiporomoka mfululizo huku wachumi wetu wa kitanzania wakiona ni jambo jema tu na lisilo na athari zozote kwao na familia zao,wengi wa wataalamu wetu hudiriki kusema ni hali tu,ya kawaida pesa ku~flactuate bila kupima ina-flactuate kwa kiwango gani.kwa vipimo vya kimataifa.

N.B: Ebu watanzani tujaribu kuisaidia kuorodhesha bidhaa ambazo kwa namna moja au ingine tunazo za kututosha humu nchi lakini kwa serikali yetu kutokuona imeshindwa kuliona hilo, tukitoa nje bidhaa za nguo ambazo viwanda vyake akina #butiku walishaviuwa.

Ni vitu gani tunajitosheleza humu ndani ili ikibidi Iwe ni mwiko kuingizwa nchini ili hatimaye tuweze kuilinda SHILING yetu jambo kuna ambao huibeza na kuikejeli kwa kulazimishia matumizi ya "DOLLARS"

Majani ya chai iwe ni mwiko ku~import no matter majirani wala nani.
 
kama mnaagiza sana kuliko kuuza lazima shilling ishuke tu unajua serikali fenicha zake uwa inaagiza china sijui veta hawawezi kutengeneza

tupunguze kuagiza nje vitu vinavyowezekana kupata umu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…