Mashigamva jr
Member
- Sep 15, 2022
- 5
- 0
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.
Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college (ATC)ikiwa ni kozi mpya iliyoanzishwa mwaka 2021 , je ina utofauti Gani na kozi ya BACHELOR OF CIVIL ENGINEERING (B.eng)ya Vyuo vya MUST, DIT na ST JOSEPH.
Na je mhitimu wa Bachelor of Civil and Highway Engineering (Kutoka ATC) atafanya kazi katika nafasi Gani na uhitaji wake katika soko la ajira na ipi ina uwanja mpana wa kujiajiri na kuajiriwa(faida na hasira baina ya hizo kozi mbili).
Naomba maoni yenu wadau kuna dogo kachaguliwa kozi zote hizi Vyuo viwili(ATC na DIT), Je a confirm kozi ya chuo gani?