Msaada wadau: Civil and Highway Engineering vs Civil Engineering

Mashigamva jr

Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
5
Reaction score
0
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.

Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college (ATC)ikiwa ni kozi mpya iliyoanzishwa mwaka 2021 , je ina utofauti Gani na kozi ya BACHELOR OF CIVIL ENGINEERING (B.eng)ya Vyuo vya MUST, DIT na ST JOSEPH.

Na je mhitimu wa Bachelor of Civil and Highway Engineering (Kutoka ATC) atafanya kazi katika nafasi Gani na uhitaji wake katika soko la ajira na ipi ina uwanja mpana wa kujiajiri na kuajiriwa(faida na hasira baina ya hizo kozi mbili).

Naomba maoni yenu wadau kuna dogo kachaguliwa kozi zote hizi Vyuo viwili(ATC na DIT), Je a confirm kozi ya chuo gani?
 
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko. Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college (ATC)ikiwa ni kozi mpya iliyoanzishwa mwaka 2021 , je ina utofauti Gani na kozi ya BACHELOR OF CIVIL ENGINEERING (B.eng)ya Vyuo vya MUST, DIT na ST JOSEPH.

Na je mhitimu wa Bachelor of Civil and Highway Engineering (Kutoka ATC) atafanya kazi katika nafasi Gani na uhitaji wake katika soko la ajira na ipi ina uwanja mpana wa kujiajiri na kuajiriwa(faida na hasira baina ya hizo kozi mbili).

Naomba maoni yenu wadau kuna dogo kachaguliwa kozi zote hizi Vyuo viwili(ATC na DIT), Je a confirm kozi ya chuo gani?
Hiyo ya ATC msisitizo ni uhandisi wa barabara (japo haimaanishi hawasomi structures). Hiyo ya DIT pamoja na vyuo vingine iko general (ina cover roads pamoja na structural).

Ungekua majuu ushauri wangu ungekua tofauti ila kibongobongo nenda kasome CIVIL ENGINEERING (ya DIT, MUST, COET nk nk)!
 
Asante kwa ushauri mzuri 🙏
 
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.

Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college (ATC)ikiwa ni kozi mpya iliyoanzishwa mwaka 2021 , je ina utofauti Gani na kozi ya BACHELOR OF CIVIL ENGINEERING (B.eng)ya Vyuo vya MUST, DIT na ST JOSEPH.

Na je mhitimu wa Bachelor of Civil and Highway Engineering (Kutoka ATC) atafanya kazi katika nafasi Gani na uhitaji wake katika soko la ajira na ipi ina uwanja mpana wa kujiajiri na kuajiriwa(faida na hasira baina ya hizo kozi mbili).

Naomba maoni yenu wadau kuna dogo kachaguliwa kozi zote hizi Vyuo viwili(ATC na DIT), Je a confirm kozi ya chuo gani?
Nionavyo mie wote hawa ni Macivil Engineer lkn huyo wa ATC ana additional Component ya Highway lkn pia majina ya course yasikutishe sana fanya comparison analysis ya course contents kwa degree zote kuona nini kinaongezeka. Kwa kuanzia Pata prospectus za vyuo hivyo
 
Asante mkuu nalifanyia kazi🙏
 
Nionavyo mie wote hawa ni Macivil Engineer lkn huyo wa ATC ana additional Component ya Highway lkn pia majina ya course yasikutishe sana fanya comparison analysis ya course contents kwa degree zote kuona nini kinaongezeka. Kwa kuanzia Pata prospectus za vyuo hivyo
Hata civil enfineering ya DIT, CoET na MUST zote zina component ya highway ndani.
 
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.

Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college (ATC)ikiwa ni kozi mpya iliyoanzishwa mwaka 2021 , je ina utofauti Gani na kozi ya BACHELOR OF CIVIL ENGINEERING (B.eng)ya Vyuo vya MUST, DIT na ST JOSEPH.

Na je mhitimu wa Bachelor of Civil and Highway Engineering (Kutoka ATC) atafanya kazi katika nafasi Gani na uhitaji wake katika soko la ajira na ipi ina uwanja mpana wa kujiajiri na kuajiriwa(faida na hasira baina ya hizo kozi mbili).

Naomba maoni yenu wadau kuna dogo kachaguliwa kozi zote hizi Vyuo viwili(ATC na DIT), Je a confirm kozi ya chuo gani?
Civil Engineering comprise main components ( 1. Buildings , 2. Structurals 3. Highways , and 4. Water
Kwa ivi vyuo ATC, MUST, DIT, UDSM etc. Mambo ni yale yale tu hakuna utofauti mkubwa san. Mwambie dogo aende kubukua popote kambi.
 
Asante mkuu kwa ushauri🙏
 
Back
Top Bottom