daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android?
Karibuni kwa michango
Karibuni kwa michango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauna computer basi wps au MS office ya android inaweza fanya cha msingi usifanye kienyeji maana kuna wengine ubadili spreadsheet extension na kuweka .csv kitu ambacho sio sahihi kwa kuwa haitakuwa encoded na baadhi application hazitaweza kuisoma.Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android?
Karibuni kwa michango
Kwenye app ya Office hakuna option ya kuwa save as csvKama hauna computer basi wps au MS office ya android inaweza fanya cha msingi usifanye kienyeji maana kuna wengine ubadili spreadsheet extension na kuweka .csv kitu ambacho sio sahihi kwa kuwa haitakuwa encoded na baadhi application hazitaweza kuisoma.
Create spreadsheet document ndani ya moja ya hizo app Kisha weka data zako na baadae save as .csv option zipo
Kwenye app ya Office hakuna option ya kuwa save as csv