agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
Kuna dada kaniomba ushauri, anadai anaujauzito wa siku 90 , anashindwa kula na anatapika kupita kiasi, nimemwambia nitamjibu baadae nililete kwa wadau kwa ushauri ili niwe na jibu zuri la kumwambia
Thanks mkuu
Kabla ya kumpeleka Hospitali mchemshie chai ya Tangawizi mpe anywe atazuia kutapika fanya hivyo kisha uje unipe feedback.Kuna dada kaniomba ushauri, anadai anaujauzito wa siku 90 , anashindwa kula na anatapika kupita kiasi, nimemwambia nitamjibu baadae nililete kwa wadau kwa ushauri ili niwe na jibu zuri la kumwambia
Kabla ya kumpeleka Hospitali mchemshie chai ya Tangawizi mpe anywe atazuia kutapika fanya hivyo kisha uje unipe feedback.