Msaada wadau,nafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga kwa kukosa elf 90

Msaada wadau,nafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga kwa kukosa elf 90

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Habari zenu watanzania wenzangu!!
Naitaji elf 90 niweze kulipia kodi ya nyumba, kwa atakayeguswa,naomba ani PM nimpe mawasiliano yangu,anikopeshe hata kama nikwa riba,nipo serious wadau
 
Habari zenu watanzania wenzangu!!
Naitaji elf 90 niweze kulipia kodi ya nyumba, kwa atakayeguswa,naomba ani PM nimpe mawasiliano yangu,anikopeshe hata kama nikwa riba,nipo serious wadau
Omba mtaji, wewe tafuta sehemu ya kujibanza, kisha njoo tusaidiane kuuza kashata Na kahawa, baada ya mwezi utaweza kuntanyuka tena
 
Ile pikipiki unayouza Geita umeihamishia Arusha nayo?..
iko mbali ndo maana hata picha yake nimeomba wanitumie, ila bado, nilimpa brother yangu akaihalibu tu, mi nipo chuo mkuu
 
Daah unanikumbusha nilivyokua nalipa 350,000/= Kodi ya nyumba kwa mwezi halafu landlord anataka miezi 6 nilihamia kwenye Nyumba yangu kabla hata ya kuweka umeme na maji
haha utakuwa muhaya sio bure
 
Daah unanikumbusha nilivyokua nalipa 350,000/= Kodi ya nyumba kwa mwezi halafu landlord anataka miezi 6 nilihamia kwenye Nyumba yangu kabla hata ya kuweka umeme na maji
Kumbe tuko wengi asee. Mi nimehamia hata choo hakijakamilika. Nikachimba shimo nje nikaweka matairi ya magari... nikazungushia makuti mambo yakanyooka...

Nikikumbuka maisha yale huwa namshukuru sana kwa wema wake na kwa kunipa mke mvumilivu
 
Back
Top Bottom