Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

palahingwe

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
16
Reaction score
10
Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano;

TDS 40,
CALCIUM 4,
MAGNESIUM 12,
SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo.

Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini?

Kwenye chupa za maji mbali mbali huwekwa kwa viwango tofauti.

Huwa najiuliza mwenyewe, ukipewa hvyo viwango vilivyoainishwa kwenye chupa unywe tuu peke yake itakuwaje?
 
Sio mtaalamu lakini nadhani huzuia maji yasitoe harufu fulani, yasibadilike rangi na yaendelee kuwa fresh maana ukifungia maji kwenye chupa haya ya kawaida muda mrefu ile chupa itabadilika rangi na maji yatakuwa na harufu fulani
 
Back
Top Bottom