Msaada wadau: Nataka nijilipue kilimo cha mpunga

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
11,258
Reaction score
20,386
Habari zenu wadau?

Naomba msaada wa kujuzwa mikoa na wilaya ambazo/ ambayo naweza kwenda kulima mpunga kwa msimu huu wa mvua.

Naombeni mnisaidie hasa wilaya zinazofaa kwa shughuli ya kilimo hiki.

Mungu awabariki!
 
jamani tusaidiane aisee
 
Nenda ruvu ukilipita daraja ulizia mashamba ya ushirika Nafco pale utakodi shamba na kilimo ni cha kumwagilia kupata mavuno % 90
 
Nenda ruvu ukilipita daraja ulizia mashamba ya ushirika Nafco pale utakodi shamba na kilimo ni cha kumwagilia kupata mavuno % 90
Hivi sikuhizi wanakodisha sh ngapi kwa heka?
 
Jilipue mbaba kinalipa ukitusua....unaweka m1 unapata m6 baada ya miez 6, cha kisasa unaweka m1 unapata m3 baada ya miezi mitatu

Acheni kubeti wasengerenyuma watz mnakua ka wajinga
Samahan mkuu,naomba ufafanue kidogo ni maeneo gani na unawekajewekaje hyo m1.
 
Usiseme unataka kujilipua sema unataka kufanya......if you want somthing go for it and get it

Maisha ubishi .........

Ova
 
Jilipue mbaba kinalipa ukitusua....unaweka m1 unapata m6 baada ya miez 6, cha kisasa unaweka m1 unapata m3 baada ya miezi mitatu

Acheni kubeti wasengerenyuma watz mnakua ka wajinga
Mkuu kilimo cha kisasa kipo wapi hivyo cha 3month
 
Nenda ruvu ukilipita daraja ulizia mashamba ya ushirika Nafco pale utakodi shamba na kilimo ni cha kumwagilia kupata mavuno % 90
Mkuu wanakodisha mashamba kwa bei gan huko ruvu
 
Mimi ninazo mbuga nzuri za kulima mpunga Rukwa, mwambao mwa ziwa tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…