African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi
Lakini tangia juzi naona imegoma kabisa kupeleka chaji na sijui tatizo ni nini?
Wadau wataalamu wa haya mambo naombeni mnisaidie kabla sijaenda kwa mafundi mtaani
Lakini tangia juzi naona imegoma kabisa kupeleka chaji na sijui tatizo ni nini?
Wadau wataalamu wa haya mambo naombeni mnisaidie kabla sijaenda kwa mafundi mtaani