African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
mkuuJamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi
Lakini tangia juzi naona imegoma kabisa kupeleka chaji na sijui tatizo ni nini?
Wadau wataalamu wa haya mambo naombeni mnisaidie kabla sijaenda kwa mafundi mtaani
mkuu pole sana hapo tatizo lilikua kwenye port ya kuchajia ilikua na matone ya maji,ulipaswa kufanya namna ya kuikausha,pixel huwa zinawarn sana kama mambo ayako sawa,nadhan ulivyokua unachaj ivyo ivyo labda imepiga short charging systemJamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi
Lakini tangia juzi naona imegoma kabisa kupeleka chaji na sijui tatizo ni nini?
Wadau wataalamu wa haya mambo naombeni mnisaidie kabla sijaenda kwa mafundi mtaani