Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Habari wadau wa ujenzi,naomba ufafanuzi juu ya tiles/vigae,ni criteria zipi/au kipimo gani/tunaangalia nini na nini kujua tiles hii ni bora?

Hapa nazungumzia tiles za sakafuni especially za kuweka vyumbani, sebuleni, kibarazani, koridoni na sio jikoni na vyooni.

Je bei kuwa kubwa ndio tiles bora?

Kuwa slippery?

Kuwa 3D?

Ung'avu wa kioo?

Unene wa tiles na ukubwa wake(mm)?

Je,sehemu zinapotengenezwa?

Je,ni za ndani au nje ya nchi ndio bora zaidi (brand).

Mwenye uelewa aje tafadhari.

 
Kati ya ceramic na poceline tiles ni zipi nzuri?
 
hizi 50*50 na 60*60 bei ipoje mkuu
 
So Twford wamecopy za Spain halafu wewe ndio unasema kuwa wao ndio bora? Ina maana wao ndio bora kuliko walio wacopy?
Kwa Ubora iko hivi:
Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford.
Tofautisha kati ya Ubora na Urahisi, Twiford ni rahisi ndio maana zipo nyingi na ndio zinanunuliwa sana kwa sababu ya bei yao kuwa cheap ukilinganisha na nyingine.
 
Mkuu bihashara matangazo, weka bei kama uko serious nawengine tuone ili tuvutike, haya mambo ya kuitana chocholoni siyo
 
Kama unahitaji tiles nzuri na zenye ubora bila kujali bei nenda kwenye maduka ya dar ceramica au CTM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…