Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

So Twford wamecopy za Spain halafu wewe ndio unasema kuwa wao ndio bora? Ina maana wao ndio bora kuliko walio wacopy?
Kwa Ubora iko hivi:
Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford.
Tofautisha kati ya Ubora na Urahisi, Twiford ni rahisi ndio maana zipo nyingi na ndio zinanunuliwa sana kwa sababu ya bei yao kuwa cheap ukilinganisha na nyingine.
Hii "Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford" unamaanisha nini?
 
So Twford wamecopy za Spain halafu wewe ndio unasema kuwa wao ndio bora? Ina maana wao ndio bora kuliko walio wacopy?
Kwa Ubora iko hivi:
Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford.
Tofautisha kati ya Ubora na Urahisi, Twiford ni rahisi ndio maana zipo nyingi na ndio zinanunuliwa sana kwa sababu ya bei yao kuwa cheap ukilinganisha na nyingine.
Hii comment naiscreen shot kwa matumizi ya baadae.
 
Back
Top Bottom