So Twford wamecopy za Spain halafu wewe ndio unasema kuwa wao ndio bora? Ina maana wao ndio bora kuliko walio wacopy?
Kwa Ubora iko hivi:
Spanish/Italian>Chinese>Goodone>Twford.
Tofautisha kati ya Ubora na Urahisi, Twiford ni rahisi ndio maana zipo nyingi na ndio zinanunuliwa sana kwa sababu ya bei yao kuwa cheap ukilinganisha na nyingine.