Msaada wadau wa afya

andry surlbaran

Senior Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
166
Reaction score
20
Ngugu zanguni mwaka jana mwezi wa kumi nilifanya mapenz na mwanamke fulani sasa kufikia mwezi december sehem zangu za siri zikaanza kutoka vipele vidooogo sana kama vya joto hivi ambavyo havikui wala kuongezeka nikadhani ni joto tu la dar! sasa sehem zangu za siri chini ya kichwa cha uume vile vipele bado vipo na sometimes vinawasha, nikajaribu kumuuliza mama akanambia nilipokua mdogo nilifanyiwa operation ya njia ya mkojo mbaya zaidi sikuhizi nime develop kitu hata sijui yani ile njia ya mkojo ina washa kwa ndani, sasa sielewi kama ni ugonjwa wa zinaa au ni impact ya ile operation ya utotoni, for the time being nina 21 yrs, naomben ushauri wadau!
 
Kapime mkuu! Huwezi pata jibu sahihi hapa.
 


Mkuu nadhani hii inafit zaidi JF doctor
 
Man hiyo inaweza ikawa syphilis .. nenda kapime na utibiwe! ukiiacha itapotea na bada ya mwaka itarudi as chronic na mwisho itakuuwa..!

BTW acha uzinzi!
 
Wewe upo dar. Nakushauri uende pale polisi central kwenye parking ya brekingdown pale jirani kuna hospital ya serikali yaitwa "IDC" inajihusisha na matibabu ya zinaa, ngozi, nk. Watakupa ushauri na dawa bure.
 
wewe upo dar. Nakushauri uende pale polisi central kwenye parking ya brekingdown pale jirani kuna hospital ya serikali yaitwa "idc" inajihusisha na matibabu ya zinaa, ngozi, nk. Watakupa ushauri na dawa bure.


poa ntafanya hivo asante
 
Hapa utapewa ushauri mbalimabli kwa nia nzuri lakini utachanganyikiwa, fanya jitihada za booking ya kuonana na mtaalamu UROLOGIST utapata jibu sahihi kwa garama nafuu (kama upo Dar, Urologist utampata ktk hospitali za Regency, Aghakan, HinduMandal, MNH, TUMAINI-Upanga n.k)
 
gonorea hilo==aids nayo hapo ni 99.9%
made in Tanzania kam upo nchi za watu ndio sijui , wabeba mabox watakuja apa na data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…