andry surlbaran
Senior Member
- Apr 13, 2011
- 166
- 20
Ngugu zanguni mwaka jana mwezi wa kumi nilifanya mapenz na mwanamke fulani sasa kufikia mwezi december sehem zangu za siri zikaanza kutoka vipele vidooogo sana kama vya joto hivi ambavyo havikui wala kuongezeka nikadhani ni joto tu la dar! sasa sehem zangu za siri chini ya kichwa cha uume vile vipele bado vipo na sometimes vinawasha, nikajaribu kumuuliza mama akanambia nilipokua mdogo nilifanyiwa operation ya njia ya mkojo mbaya zaidi sikuhizi nime develop kitu hata sijui yani ile njia ya mkojo ina washa kwa ndani, sasa sielewi kama ni ugonjwa wa zinaa au ni impact ya ile operation ya utotoni, for the time being nina 21 yrs, naomben ushauri wadau!