kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,034
- 6,571
Nina ndugu yangu yupo kijijini, ni muhitimu wa kidato cha sita ameniomba nimwangalizie profile yake ya tcu...chaajabu nimekuta wame muekea kozi mpya zote tofauti na alizo ziomba, mfano udsm aliomba BA economics amekuta wamebadili wame weka BA in Fine and performning Arts, wakati yeye amesoma HGE na ana div TWO, naombeni ushauri wana JF