Msaada wadau wa Elimu....hasa wenye huelewa na TCU!

dah anaweza pangiwa course ambayo hakuomba wala haijui, nilikuwa naomba ushauri wenu wa haraka.....je naweza msaidiaje huyu dogo kwa haraka? kabda awajatoa matokeo rasmi katika web yao, je akipata hiyo fine arts kuna uweze kano wa kubadili hiyo course na kurudi economics japo ni department mbili tofauti.... maana cutoff point zao alikidhi!

yah ilo tatizo lilikuwepo ila umefanya makosa ilikuwa inatakiwa kutembelea profile yake mapema kabla closing day... Ata ss ilitokea ila 2likuwa tunabadilisha zikijichange
 
sasa hii Bachelor of Arts in Fine and Performing Arts, ndugu yangu hata haijui, kazi atapata wapi? dah inatia uruma kinoma HGE yote
 
yah ilo tatizo lilikuwepo ila umefanya makosa ilikuwa inatakiwa kutembelea profile yake mapema kabla closing day... Ata ss ilitokea ila 2likuwa tunabadilisha zikijichange

mkuu vipi akija daa na kwenda tcu, anaweza fanikiwa kweli?...
 
wamemuwekea mwiba dogo huyo

kinacho sikitisha ni hiyo course ya fine and prfmn arts walio muekea na ambayo hakuwa kuomba..dah the world is not fair, mtu unasoma HGE then unakuja kusoma sanaa tena kwa lazima, huku ukiwa ume haulu vizuri somo la economics.
 
huo ni utata mkuu ndio tanzania ilivyo mkuu tuna ng'ang'ania kutumia systm za kisasa lakini bado sana, mfano wanafunzi waishio vijijini pasipo na netwk wata tembeleaje profil zao mara kwa mara?!.
 
wakuu yeye aliomba!
1.Udsm=ba economics
2.Mumbe=b accounting in business sector
3.Sua=agribusiness
4.Aridh=ba economics
5.Udom=ba commerce in finance.

Chaajabu amekuta
udsm=ba Fine and perfmn arts
Aridh=bachelor of science in real estate(finance and investment)
...nyingine zipo sawa....jamani ushauri! please wana Jf.

angalia codes maana econ ni ud002 kama ckosepi.kma code zpo sawa nenda tcu au piga cimu
 
Hapo ni swala la kwenda tcu,na sio vinginevyo mkuu.password yake alitunza vizuri?maana kuna watu wengine wanaweza wakakualibia,kama wanaijua pussword yako.ndio maana wanasema kuwa makini na namba yako ya siri.lakini asikate tamaa,aende office za tcu,watamsaidia kiukweli.ajieleze vizuri kilichotokea.
 
Naomba tuelewe kwamba eligability haichekiwi manualy ila ni mtandaoni wanapofungua micro exel filter na uchaguzi unaanza kwa first priority kwa waliomeet min reqrments alaf wasipotosha wafuata second hadi 5th kwa waliokidhi vigezo tuu so suala kubadika kwa mchaguo wa coz ambazo hujameet min reqrment alaf ukawekewa YES ELIGIBLE ts miracles labda yy mwenyewe alikosea kujaza coz zile code ukiongeza herufi au ukipunza inakuwa coz nyingine!! Ndo hivyo mkuu! !
 
mkuu ndio hivyo tatizo amelikuta kwa profil yake, na hiyo course wame mwekea kama first choice udsm, na yeye hakuiomba, yeye aliomba ba economics kama first choice! Ushauri mkuu!.........
 
Hapo ni swala la kwenda tcu,na sio vinginevyo mkuu.password yake alitunza vizuri?maana kuna watu wengine wanaweza wakakualibia,kama wanaijua pussword yako.ndio maana wanasema kuwa makini na namba yako ya siri.lakini asikate tamaa,aende office za tcu,watamsaidia kiukweli.ajieleze vizuri kilichotokea.

Dogo ndio ametoka kijijin kuja mjini mkuu, je kuna uwezekano wa kumsaidia kweli?...
 
TCU wame mwambia majina wamesha yapeleka vyuoni. kwa hiyo asubiri majina yakisha tolewa na chuo then aombe kuchuo alicho pangiwa kuamia course anayo itaka. kwa mtazamo wangu ni danganya toto, mtu utatokaje department ya sanaa na kuamia department ya economics. dogo kapotezewa malengo yake ya kusoma uchumi mpaka kuja kusoma sanaa.
 
hapo pagumu mkuu labda uwa subiri walio soma udsm wakuambie ukweli.
 
mkuu ndio hivyo tatizo amelikuta kwa profil yake, na hiyo course wame mwekea kama first choice udsm, na yeye hakuiomba, yeye aliomba ba economics kama first choice! Ushauri mkuu!.........

m sure wata mpangia hiyo fine and performng arts. aanze kufanya mishe za kuhama hiyo course.
 
mkuu vipi akija daa na kwenda tcu, anaweza fanikiwa kweli?...

yah anafanikiwa ata mim kuna jamaa yangu zilijibadilisha coz ambazo alikuwa amechagua akawafuata dar wakamrekebishia cha muhimu awahi mapema
 
Back
Top Bottom