frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
dah anaweza pangiwa course ambayo hakuomba wala haijui, nilikuwa naomba ushauri wenu wa haraka.....je naweza msaidiaje huyu dogo kwa haraka? kabda awajatoa matokeo rasmi katika web yao, je akipata hiyo fine arts kuna uweze kano wa kubadili hiyo course na kurudi economics japo ni department mbili tofauti.... maana cutoff point zao alikidhi!
yah ilo tatizo lilikuwepo ila umefanya makosa ilikuwa inatakiwa kutembelea profile yake mapema kabla closing day... Ata ss ilitokea ila 2likuwa tunabadilisha zikijichange
wamemuwekea mwiba dogo huyo
wamemuwekea mwiba dogo huyo
wakuu yeye aliomba!
1.Udsm=ba economics
2.Mumbe=b accounting in business sector
3.Sua=agribusiness
4.Aridh=ba economics
5.Udom=ba commerce in finance.
Chaajabu amekuta
udsm=ba Fine and perfmn arts
Aridh=bachelor of science in real estate(finance and investment)
...nyingine zipo sawa....jamani ushauri! please wana Jf.
Naomba tuelewe kwamba eligability haichekiwi manualy ila ni mtandaoni wanapofungua micro exel filter na uchaguzi unaanza kwa first priority kwa waliomeet min reqrments alaf wasipotosha wafuata second hadi 5th kwa waliokidhi vigezo tuu so suala kubadika kwa mchaguo wa coz ambazo hujameet min reqrment alaf ukawekewa YES ELIGIBLE ts miracles labda yy mwenyewe alikosea kujaza coz zile code ukiongeza herufi au ukipunza inakuwa coz nyingine!! Ndo hivyo mkuu! !
Hapo ni swala la kwenda tcu,na sio vinginevyo mkuu.password yake alitunza vizuri?maana kuna watu wengine wanaweza wakakualibia,kama wanaijua pussword yako.ndio maana wanasema kuwa makini na namba yako ya siri.lakini asikate tamaa,aende office za tcu,watamsaidia kiukweli.ajieleze vizuri kilichotokea.
TCU wame mwambia majina wamesha yapeleka vyuoni. kwa hiyo asubiri majina yakisha tolewa na chuo then aombe kuchuo alicho pangiwa kuamia course anayo itaka. kwa mtazamo wangu ni danganya toto, mtu utatokaje department ya sanaa na kuamia department ya economics. dogo kapotezewa malengo yake ya kusoma uchumi mpaka kuja kusoma sanaa.
mkuu ndio hivyo tatizo amelikuta kwa profil yake, na hiyo course wame mwekea kama first choice udsm, na yeye hakuiomba, yeye aliomba ba economics kama first choice! Ushauri mkuu!.........
mkuu vipi akija daa na kwenda tcu, anaweza fanikiwa kweli?...