kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jul 23, 2016 #1 habari zenu wadau nina ndugu yangu mwanamke anaumwa seheme ya tumbo iliyo chini ya ubavu wa kulia halafu anasema na mguu wa kulia unamuuma je ugonjwa gani?
habari zenu wadau nina ndugu yangu mwanamke anaumwa seheme ya tumbo iliyo chini ya ubavu wa kulia halafu anasema na mguu wa kulia unamuuma je ugonjwa gani?