Msaada wadau

Msaada wadau

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
habari zenu wadau nina ndugu yangu mwanamke anaumwa seheme ya tumbo iliyo chini ya ubavu wa kulia halafu anasema na mguu wa kulia unamuuma je ugonjwa gani?
 
Back
Top Bottom