Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Nawezaje kutuma kazi za huyu lecture kwenye email yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe unatakiwa kuangalia email address hata kama kuna kitu kimemiss kidogo mfano unaweza kuweka herufi kubwa badala ya ndogo pia ni kosa, kama kuna character imemiss ni kosa.Natanguliza shukran,Leo no deadline ya hiyo assignment then Sina uzoefu wowote na mambo ya kutuma kwa email kazi.