jamani kuna hii faculty ya " Bachelor of Science in Wildlife Science and Conservation" hivi ipo vipi katika upande wa ajira tanzania?
Unajua maana ya fuculty??????
Ebu cheki hz alaf ulinganishe na ya kwako; Fuculty of engineering, fuculty of social science, ...... hyo unayosema ni course but not fuculty so jaribu kufuatilia kwanza kitu kabla ya kuandka au kusema itakusaidia saaana... and about your Qn subr wadau waje kukupa informations ila mm huko sipo fresh sanasasan ntakudanganya tu
hivi ni FUCULTY au ni faculty,acha ujuaji sana wewe! mm nafikir ulielewa nilivyokuwa namaanisha!
Unajua maana ya fuculty??????
Ebu cheki hz alaf ulinganishe na ya kwako; Fuculty of engineering, fuculty of social science, ...... hyo unayosema ni course but not fuculty so jaribu kufuatilia kwanza kitu kabla ya kuandka au kusema itakusaidia saaana... and about your Qn subr wadau waje kukupa informations ila mm huko sipo fresh sanasasan ntakudanganya tu
Nawewe umekosea..ni FACULTY na sio "fucult"..
Vizur sana mkisha ediit ndo mnajfanyga mnapga kelele but no problem yote hayo ni njia ya kijifunza

na ndio maana ya jukwaa la elimulakin c imeeleweka kinacho onglew
Toweni ushauri sasa mbona mnakosoana tu?Mm hayo siajui.