Msaada wadau

Msaada wadau

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu waheshimiwa. Ninaomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Bsc in Engineering Geology, ipoje katika usomaji?; mkopo wanapewa asilimia ngapi?; na vipi mtaalamu wa kozi hii soko lake ni kubwa?.
Nimeulizia mkopo kwa sababu mwaka jana nimeshindwa kujiunga na Mech engineering sababu ya kukosa mkopo. Nimeukizia soko kwa sababu usomi wa sasa ni kwa ajiri ya kupata ajira kirahisi na ujira mzuri.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom