...ulipenda kusoma medicine una matokeo gani?na chuo kipi?? ..... acha mbwembwe shukuru hata hyo sijui RAM coz ungeenda kusoma kwenye vyuo kama DATA STAR, AMAZON COLLEGE etc haukuwa na results nzuri za kukufanya usomee medicine, by the way Serikali ina tia motisha sana masomo ya Science na kama ungekuwa umefauru vizuri TCU isengekuacha kukuchagua medicine... so nenda kasomee hyo RAMHabari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi hii nilichagua mwishoni kabisa sababu ya mtandao w tcu kuniletea mizengwe. NAOMBENI KUJULISHWA NINI FUTURE YA KOZI HII,AJIRA ZIPO KWELI NA NITAKUWA NANI HASWA NA JE NJE YA GOVERNMENT NAWEZA KUPATA KAZI KWELI. msaada jamani, nahisi nisiende kusoma mwaka huu niwe tu mjasiliamali.
Habari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi hii nilichagua mwishoni kabisa sababu ya mtandao w tcu kuniletea mizengwe. NAOMBENI KUJULISHWA NINI FUTURE YA KOZI HII,AJIRA ZIPO KWELI NA NITAKUWA NANI HASWA NA JE NJE YA GOVERNMENT NAWEZA KUPATA KAZI KWELI. msaada jamani, nahisi nisiende kusoma mwaka huu niwe tu mjasiliamali.
masuala ya kazi ni baada ya kumaliza kozi. Itategemea mahitaji ya soko kwa hiyo kozi kwa wkt huo.uulize moyo wako ni ipi kati ya hizo mbili unapendaKwani huwezi ukawa mtu wa kazi nyingine lazima uwe masjala. Msaada kama kuna alternatives nyingine za kazi kwa kozi hiyohiyo.
Zaidi? Na je kwa nn hukuchaguliwa hiyo medicine?had it been in my shoes i could go for md hata km ni kuahirishamwaka
Hyo kozi itakufanya ufanye kazi kwenye ofic za masjala..jiandae kula vumbi la mafaili.
masuala ya kazi ni baada ya kumaliza kozi. Itategemea mahitaji ya soko kwa hiyo kozi kwa wkt huo.uulize moyo wako ni ipi kati ya hizo mbili unapendaKwani huwezi ukawa mtu wa kazi nyingine lazima uwe masjala. Msaada kama kuna alternatives nyingine za kazi kwa kozi hiyohiyo.
Zaidi? Na je kwa nn hukuchaguliwa hiyo medicine?had it been in my shoes i could go for md hata km ni kuahirisha
.cjui uko serious kiasi gani maana ungekuwa kweli una nia ya kusoma md ungeshajua kuwa KIU kuna nafasi 4 80 yaan kt ya w2 600 wanaotakiwa kuomba medicine wameomba 120 tu. Hata muhimbili bado zpo za medical laboratory so go for them[/QUOTE said:KIU ???
You heard it clear!KIU ???
.cjui uko serious kiasi gani maana ungekuwa kweli una nia ya kusoma md ungeshajua kuwa KIU kuna nafasi 4 80 yaan kt ya w2 600 wanaotakiwa kuomba medicine wameomba 120 tu. Hata muhimbili bado zpo za medical laboratory so go for them[/QUOTE said:acha kumteketeza mwenzio kwa kumpeleka KIU