Msaada wajameni bpa-ram

Msaada wajameni bpa-ram

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
420
Reaction score
556
Habari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi hii nilichagua mwishoni kabisa sababu ya mtandao w tcu kuniletea mizengwe. NAOMBENI KUJULISHWA NINI FUTURE YA KOZI HII,AJIRA ZIPO KWELI NA NITAKUWA NANI HASWA NA JE NJE YA GOVERNMENT NAWEZA KUPATA KAZI KWELI. msaada jamani, nahisi nisiende kusoma mwaka huu niwe tu mjasiliamali.
 
ka vp badilisha,wah tcu kabla ya tar 16.lakn ngoja waje magwij
 
usikate tamaa mapema kjana subiri kwanza watu wakusaidie....
 
Habari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi hii nilichagua mwishoni kabisa sababu ya mtandao w tcu kuniletea mizengwe. NAOMBENI KUJULISHWA NINI FUTURE YA KOZI HII,AJIRA ZIPO KWELI NA NITAKUWA NANI HASWA NA JE NJE YA GOVERNMENT NAWEZA KUPATA KAZI KWELI. msaada jamani, nahisi nisiende kusoma mwaka huu niwe tu mjasiliamali.
...ulipenda kusoma medicine una matokeo gani?na chuo kipi?? ..... acha mbwembwe shukuru hata hyo sijui RAM coz ungeenda kusoma kwenye vyuo kama DATA STAR, AMAZON COLLEGE etc haukuwa na results nzuri za kukufanya usomee medicine, by the way Serikali ina tia motisha sana masomo ya Science na kama ungekuwa umefauru vizuri TCU isengekuacha kukuchagua medicine... so nenda kasomee hyo RAM
 
Hyo kozi itakufanya ufanye kazi kwenye ofic za masjala..jiandae kula vumbi la mafaili.
 
Habari za jioni' wana jamvi nilitamani sana kusoma medicine, lakini kwa bahati nzuri au mbaya nimechaguliwa pale mzumbe .BACHELOR IN PUBLIC ADMINSTRATION IN RECORD AND ARCHIVE MANAGEMENT. kozi hii nilichagua mwishoni kabisa sababu ya mtandao w tcu kuniletea mizengwe. NAOMBENI KUJULISHWA NINI FUTURE YA KOZI HII,AJIRA ZIPO KWELI NA NITAKUWA NANI HASWA NA JE NJE YA GOVERNMENT NAWEZA KUPATA KAZI KWELI. msaada jamani, nahisi nisiende kusoma mwaka huu niwe tu mjasiliamali.

kazi zipo nyingi tu usijali!!
 
Hyo kozi itakufanya ufanye kazi kwenye ofic za masjala..jiandae kula vumbi la mafaili.

Kwani huwezi ukawa mtu wa kazi nyingine lazima uwe masjala. Msaada kama kuna alternatives nyingine za kazi kwa kozi hiyohiyo.
 
masuala ya kazi ni baada ya kumaliza kozi. Itategemea mahitaji ya soko kwa hiyo kozi kwa wkt huo.uulize moyo wako ni ipi kati ya hizo mbili unapenda
Zaidi? Na je kwa nn hukuchaguliwa hiyo medicine?had it been in my shoes i could go for md hata km ni kuahirishamwaka
 
Kwani huwezi ukawa mtu wa kazi nyingine lazima uwe masjala. Msaada kama kuna alternatives nyingine za kazi kwa kozi hiyohiyo.
masuala ya kazi ni baada ya kumaliza kozi. Itategemea mahitaji ya soko kwa hiyo kozi kwa wkt huo.uulize moyo wako ni ipi kati ya hizo mbili unapenda
Zaidi? Na je kwa nn hukuchaguliwa hiyo medicine?had it been in my shoes i could go for md hata km ni kuahirisha
 
[QUOTE= .cjui uko serious kiasi gani maana ungekuwa kweli una nia ya kusoma md ungeshajua kuwa KIU kuna nafasi 4
80 yaan kt ya w2 600 wanaotakiwa kuomba medicine wameomba 120 tu. Hata muhimbili bado zpo za medical laboratory so go for them
 
.cjui uko serious kiasi gani maana ungekuwa kweli una nia ya kusoma md ungeshajua kuwa KIU kuna nafasi 4 80 yaan kt ya w2 600 wanaotakiwa kuomba medicine wameomba 120 tu. Hata muhimbili bado zpo za medical laboratory so go for them[/QUOTE said:
acha kumteketeza mwenzio kwa kumpeleka KIU
 
Back
Top Bottom